Thursday, March 28, 2013

WEMA SEPETU KATIKA MUONEKANO MPYA HATARI.


Actress Wema Sepetu is likely to be a style diva in Tanzania and even outside kwa siku za hivi karibuni kuwa makini sana na fashion zake zinazovutia wengi ikiwemo kuanza kubadilika hata katika style za nywele kitu ambacho huko nyuma hakuwa nacho bali alikuwa anasemwa sana kwa mavazi yanayoweka wazi sana mwili wake. Look at her latest look akiwa katika muonekano bomba katika nguo za rangi nyeusi, njano and viatu vya rangi ya emerald green ambayo ni rangi ya mwaka huu kuonyesha jinsi Wema alivyo makini katika fashion siku hizi. Hapo ni katika ofisi yake ya Endless Fame Production akiwa kiofisi zaidi.


MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment