Friday, October 20, 2017

MPYAAAA!!!!! MATOKEO DARASA LA SABA 2017 HAYA HAPA

MPYAAAA!!!!! MATOKEO DARASA LA SABA 2017 HAYA HAPA

BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO DARASA 7 2017 ...

Read More

Tuesday, January 31, 2017

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016 HAPA

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016 HAPA

  ANGALIA HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016    BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO CSEE 201 ...

Read More

Thursday, October 27, 2016

MATOKEO DARASA LA SABA 2016

MATOKEO DARASA LA SABA 2016

BOFYA HAPA KUANGAL ...

Read More

Wednesday, September 7, 2016

MAFUTA YASHUKA BEI

MAFUTA YASHUKA BEI

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji na Mafuta (Ewura), imetangaza kushuka bei ya mafuta ya aina zote kwa jumla na rejareja. Bei hizo mpya ya mafuta zimeshuka katika mikoa yote isipokuwa Mkoa wa Tanga, hasa kwa petroli, dizeli na mafuta ya taa. Taarifa ya Ewura jana ilisema ...

Read More

JPM atoa siku saba kwa wadaiwa sugu NHC

JPM atoa siku saba kwa wadaiwa sugu NHC

Siku chache baada ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) litoe nje vitu vya mmiliki wa Mbowe Hotels Limited, Freeman Mbowe kwa kile kilichoelezwa kushindwa kulipa kodi ya pango iliyofikia Sh bilioni 1.172 , Rais Dk. John Magufuli amempongeza Mkurugenzi wa Shirika hilo, Nehemia ...

Read More

Darasa la saba waanza mitihani leo

Darasa la saba waanza mitihani leo

WATAHINIWA 795,761 wanatarajia kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) unaofanyika leo na kesho nchini kote. Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk Charles Msonde alisema wanafunzi 372,883 ambao ni sawa na asilimia ...

Read More

Ujenzi nyumba za Magomeni Kota kukamilika mwakani

Ujenzi nyumba za Magomeni Kota kukamilika mwakani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 06 Septemba, 2016 amewatembelea Wakazi wa Magomeni Kota Jijini Dar es Salaam ambao nyumba walizokuwa wakiishi katika eneo hilo zilivunjwa mwaka 2012 kwa makubaliano ya kujengwa nyumba za kisasa na ...

Read More

Friday, September 2, 2016

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) KWA MWAKA 2016

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) KWA MWAKA 2016

TAARIFA KWA UMMA OR-TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na wavulana 1,505 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili kwa ajili ...

Read More