Tuesday, March 5, 2013

MAKAHABA WAAHIDI KUFANYA NGONO BURE KENYA:WAKATI uchaguzi nchini Kenya ukiendelea makahaba wa Kisumu wametoa kali baada ya kutangaza kutoa ofa ya kufanya ngono bure kama mgombea urais Rail Ondika cord  atashinda.

Makahaba wa nchi hiyo wameamua kufuata nyayo za makahaba wa Nigeria walipoahidi kutoa penzi la bure kama timu yao itashinda katika mashindano ya AFCON  cup yaliyomalizika hivi karibuni, kwa bahati timu yao ilishinda lakini haikubainishwa kama walitimiza ahadi yao au la.

Makahaba hao walitoa ofa hiyo kupitia mtandao wa facebook ambao watu wengi wameunga mkono na kutoa mawazo yao.
`
Makahaba hao walieleza wataibatilisha ofa hiyo kama Uhuru Kenyata atashinda.

Utaratibu huo wa kutangaza ofa za ngono kwa makahaba unawashangaza na baadhi ya watu na kuamini ni njia ya kujitangaza zaidi na si ushabiki

The Kenyan Daily Post
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment