Monday, March 11, 2013

PICHA YA UHURU KENYATTA KANISANI BAADA YA USHINDI.


.
.
Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Urais nchini Kenya jumamosi iliyopita, jana jumapili march 10 2013 Rais Uhuru Kenyatta alihudhuria ibada ya kumshukuru Mungu.
Standard Media wameripoti kwamba Rais huyu wa awamu ya nne aliwasili Kanisani huko Kiambu akiwa na ulinzi mkali ambao unalingana na levo yake ya Urais.
. 
Vilevile William Ruto ambae anatarajiwa kuapishwa kama Makamu wa Rais alihudhuria ibada ya kumshukuru Mungu kanisani jijini Nairobi.
Ruto alimwaga machozi wakati aliposimama mbele ya umati kutoa ushuhuda wa ushindi wao pamoja na kumshukuru Mungu kwa kuwapigania.
.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment