Monday, March 25, 2013

LICHA YA KUWA SEGEREA KAJALA AZIDI KUWA MZURI, LULU AJITOKEZA KUMPA SAPOTI NA KUANGUA KILIO.


Baadhi ya watu wameonekana kushangazwa na muonekano wa actress Kajala Masanja kuwa licha ya kuwa katika matatizo kwa kesi iliyokuwa ikimkabili kwa muda sasa but amezidi kuwa mrembo shavu dodo na ngozi yake kuwaka tofauti na wenzake wengine wakiwa segerea huchakaa but kajala kazidi kuwa mrembo. Baadhi ya watu wakiwemo wasomaji wa mtandao huu wamesema hawakutarajia kumuona kajala akiwa mrembo kiasi hicho kuliko hata alivyokuwa kabla hajaenda segerea. Pia wamesema hata Lulu kazidi kuwa mzuri wakati pia alikuwa huko huko muda si mrefu sana. Grace amesema " hee.. mbona huyu Kajala kazidi kunawir badala ya kuchakaa huko selo!". Nae Robertson alisema " Dahh.... huyu mdada kazidi kuwa sistaduu kama hkuwa ktka problems n lulu nae mzuri tuu kama hana tatzo vile!". Katika hukumu ya kesi yake leo mastaa kibao wa films walikuwepo kumpa sapoti akiwemo Lulu, Muhsin Awadhi(Dr. Cheni), Wema Sepetu aliyetoa mil 13 ili atoke na wengineo kibao .
 Karibu sana uraiani Kajala na sahau yaliyopita.

 Angalia picha za kajala hapo chini kwa msaada wa millardayo.com kama kweli kawa mzuri tofauti na zamani au lah!

                                         Kajala na Dr. Cheni
                                     Lulu pia alikuwepo kumpa sapoti akiwa amependeza sana
                                                                Wema sepetu
Lulu licha ya kujitokeza kumsapoti mwenzake but wote walishia kulia kwa huzuni.
                        
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment