Friday, March 15, 2013

JUMA NATURE: NGOMA YANGU NA TUNDA MAN IMEKAMILIKABaada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, the long time legend kwenye mziki wa bongo fleva, Juma Kassim Kiroboto, Juma Nature, ameamua kudondosha fleva mpya kwa maskio yako akiwa amemshirikisha Tunda Man.
Ngoma yangu mpya nimefanya na tunda man imekamilika na jmoc ya kesho kutwa naiachia na kwa wale wanaotaka kuiskiliza kuanzia kesho tembelea kwenye blog ya tmkwanaumehalisi utaisikiliza kupitia humo na utatupia comment yko na maoni yko kuhusu hiyo nyimbo samahanini mashabiki wangu kwa kukaa kimya muda wote na video nafanya kuanzia wiki ijayo na showbizdefine
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment