Thursday, March 14, 2013

Picha za Msanii wastara akiagwa Airport Baada la Tamko lake la Kwenda kupumzika Uarabuni baada ya Misukosuko MingiWASTARA Juma amabaye ni mke wa marehemu Juma Kilowoko “Sajuki” Jumpili jioni alisindikizwa na ndugu na jamaa katika uwanja wa ndege wa Kimataita wa Mwalimu Nyerere katika safari yake ya kuelekea Oman.
Wastara ambaye amekwenda Oman kwaajili ya mapumziko ya miezi miwili ikiwa ni pamoja na kumaliza eda ya mumewe alipelekea huzuni nyingi kwa watu waliomsindikiza kuanzia nyumbani hadi Airpot.
Zifuatazo ni picha mbali zilizopigwa nyumbani, barabarani na uwanja wa ndege zikimuonyesha Wastara katika pilika za safari hiyo.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment