Friday, March 15, 2013

DIAMOND NEY WA MITEGO WAMCHANA TENA CHID BENZI KWENYE MUZIKI GANI


Tayari ngoma hii imeshakuwa gumzo la jiji la dar es salaam muziki gani ndio habari ya mujini kwa sasa live chidy benzi amepasuliwa tena na diamond na ney wamitego live katika wimbo mpya wa ney na diamond unaoitwa muziki gani? kama vipi sikiliza au download hapa wimbo huo

http://www.hulkshare.com/#/t9c0l34zi5mo
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment