Sunday, February 17, 2013

WEMA SEPETU AFUNGUA OFISI YA GHARAMA KWA AJILI YA FILMS ZAKE


Kabla ya kuizindua rasmi kampuni yake ya Endless Fame Films actress Wema Sepetu and Miss Tanzania in 2006 ameamua kutupa first look ya ofisi yake kupitia mtandao wa  instagram . Ofisi hiyo inaonekana kuwa na mazagazaga kibao ya Gharama. jionee.......................MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment