Saturday, February 16, 2013

ROSE NDAUKA ANASWA AKIKATIZA MITAA YA POSTA


Stori:Issa Mnally
Tofauti na mastaa wengine ambao hupenda kujifichaficha kwa kutumia magari yenye vioo vyeusi ‘tinted’, mwigizaji ‘expensive’ wa filamu za Kibongo, Rose Donatus Ndauka amenaswa laivu akikatiza kwa miguu, katikati ya Jiji la Dar, mitaa ya Posta.
Continued after the jump ....

Tukio hilo lilipigwa chabo na paparazi wetu hivi karibuni ambapo mwigizaji huyo alionekana ‘akipuyanga’ mitaani bila usafiri kama alivyozoeleka.

Paparazi wetu alimfuatilia kwa muda mrefu, akampiga picha kadhaa (kama zinavyoonekana hapo chini).
Wakati zoezi la kumtandika picha likiendelea, kuna wakati mwigizaji huyo alionekana kama anataka kuomba lifti ya bodaboda lakini aliahirisha na kuanza kutimua mbio huku akiangua kicheko cha kiaina.


MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment