Tuesday, February 12, 2013

LULU SOON KUFANYA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHIMsanii wa Bongo Movie maarufu kama Lulu zimepita siku chache toka apata dhamana ya kuingia uraiani.
 Team fetty the best ilipata nafasi ya kupiga story na Dr Cheni ambaye ni mtu wa karibu sana na lulu,akasema kwamba kwa sasa wanachopanga ni kufanya Press Conference kati ya Lulu na waandishi lakini hakuweza kusema ni siku gani ila alimalizia kwa kusema watu wakae tayari kwa Press Conference hiyo.@info by Dr Chenn. 

VIA Dj Feffy Blog
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment