Thursday, February 21, 2013

HICHI NDO WALICHO SEMA WEMA NA AUNT EZEKIEL KUHUSU PICHA WALIZOPIGWA WAKIKATA 'MAUNO'“Sisi tumecheza tumefurahi tu hawa waliofunga mtaa kututazama watakuwa wanataka kuona mavituzi yetu,” alisema Wema. 
 
Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakikata mauno. 
Mpango mzima ulitokea hivi karibuni katika arobaini ya mtoto wa dada yake Wema iliyofanyika Sinza Kwa - Remmy, jijini Dar ambapo Aunt pamoja na baadhi ya wasanii walifika kusherehekea sherehe hiyo ya kumtoa mtoto.
 
 ...Warembo hao wakiwa katika pozi.
Awali, Wema alionekana akimtunza fedha pamoja na mikufu ya dhahabu yenye thamani kubwa na ilipoisha sherehe ya maulid ndipo mastaa hao waliwasha muziki na kuanza kulisakata rumba.
 
...Wakizidi kumwaga radhi.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment