Thursday, February 21, 2013

PICHA ZA NGONO ZA RAYUU ZA SAMBAA MTANDAONI
MTANDAO wetu, umezinasa picha kadhaa za msanii Rayuu zinazomuonesha akiwa kwenye tendo la ndoa na mwanaume ambaye hajajulikana mara moja, ambazo kati ya hizo nyingine hazifai kuonekana machoni mwa watu kutokana na uvunjaji wa maadili.


Picha hizo zimeonekana kwenye mtandao mmoja maarufu wa nje zikiwa kwenye utata mkubwa huku mwanaume anayeonekana akiwa ni raia wa Tanzania, kutokana na utata wa wa mtandao huo ambao unahusika zaidi na picha za ngono. Mtandao huu baada ya kuzipata picha hizo, ulifanya uchunguzi kwa kumtafuta muhusika ili kuzungumza naye, ambapo hata hivyo mwenyewe alionekana kushutuka kwa madai kuwa hajui picha hizo zimetoka wapi.


Rayuu alidai kuwepo kwa picha hizo kwenye mitandao ya ngono anahisi wasi kuna baadhi ya watu wanataka kumchafua kwani hajawahi kushiriki kwenye picha yoyote ya ngono kama picha hizo zinavyomuonesha.
“Jamani mbona naonewa sana hizo picha mimi sijui zimetoka wapi, kwanza kama nimefanya mapenzi mimi watu kiwanawahusu nini acha wazitazame sina muda nao napenda kufanya mambo yangu siku zote,” aliongeza.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment