Sunday, April 7, 2013

TAZAMA PICHA ZA SHEREHE YA KUMKARIBISHA KAJALA URAIANI ILIYOFANYIKA NYUMBANI LOUNGE


 wema, kajala n friend wakishow love..

best friends forever inshaallah mwenyez mungu awaweke
hapa wakiingia ukumbini..
wema, dj fetty n kajala..
  
  keki..
hayaweee mambo JD hayooo...
  
akizungumza machache kabla ajakata keki..
  
wema na yeye akiongea machache,,, kajala dont cry bhanaa...
  
keki hizooo..
  
yumm!!
tamani mie hapa..
maraiki mbalimbali wakilishwa keki..
aunt n kajala..
  
bilali mashauzi, bilal wa A akila keki na yeye..
hapo chacha!! kajala akimlisha petit man keki..
 yvone nae akila keki..
  
**WELCOME BACK KAJALA**
From: zeddylicious
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment