Monday, April 22, 2013

HACKERS WAINGILIA TOVUTI YA MAKAMU WA RAIS WAANDIKA MATUSI NA KUWEKA NYIMBO ZA MATUSI   
 
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida hacker waendele kusumbua sasa ni zamu ya tovuti ya serikali ya makamu wa rais  kilicho andikwa nimatusi  kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco. Home - uone. Je hii inamaanisha nini kwa systems zetu za mawasiliano kuwa rahisi kufanyiwa uhuni kama hivyi mpaka lini. 
Hata hivyo wahusika wa tovuti hiyo wamefanikiwa kuondoa tatizo hilo kwa sasa
SOURCE BONGOCLANTZ
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment