Friday, April 26, 2013

JAGUAR AWA MSANII WA KWANZA KUTOKA KENYA KUMILIKI NDEGE BINAFSI


 
 
Mwanamuziki kutoka Kenya, JAGUAR amenunua ndege binafsi ...
Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa ...
Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa jina lake, yaani AIR JAGUAR ...
Jumamosi moja katika uwanja wa ndege wa Wilson Airstrip uliopo nchini Kenya, Jaguar anasemekana kuitumia ndege hiyo inayopandisha abiria sita kwenda kustarehe huko Great Lake Resort, Niavasha akiwa na baadhi ya wasanii wengine …
CHANZO : GONGAMX
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment