Tuesday, April 16, 2013

RIHANA TENA SASA IVI ACHEZA UCHI MTAAN KWENYE PARTY HUKO BARBADOS ONA HAPA. 


Katika party ya Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo Mwanadada Rihana  alizaliwa, katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku akiwa uchi kama picha zinavyoonekana.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment