Friday, April 5, 2013

LAANA:HII NI PART 2 YA "KANGA MOJA" ILIYOFANYIKA KATIKA SHOW YA DIAMOND HUKO BUKOBA ,,NGUOYA NDANI TUPA KULE:
Mwanamke  akimwagiwa  maji  matakoni  mbele  ya  watoto  waliohudhuria


Paja lote  liko  nje  huku  akihema  utafikiri  mbwa  aliyekurupushwa

Hapo  wanafanya  mapenzi  live  japo  hawajavua.....Iko  haja  ya  kuwakataza  watoto  kushiriki  show  kama  hizi.....

Hili  ni  kundi  la  watoto  kama  unavyoliona....Kati  yao  wengine  ni  wanafunzi....Wakifeli, lawama  zote  kwa  serikali...Huyu  hata  chupi  hana.Ni  kanga  tu  tena  imefungwa  upande  mmoja.Haya  madanguro  ya  uchi  yanakera  sanaMWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment