Tuesday, April 23, 2013

HIVI NDIVYO WALINZI WA CHADEMA WANAVYO MLINDA MWENYEKITI WAO MH. MBOWE


Walinzi wa Chadema wakiwa wameninginia kwenye gari la Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati wakielekea kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Wajenzi, mjini Dodoma, Jumamosi iliyopita.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment