
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania
kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni
Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange

Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna

Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru

Nyomi ya leo. Taswira zingine na kumwaga baadaye.
No comments:
Post a Comment