.
Huyu mtoto anaitwa Martin
Richard na ana umri wa miaka 8, alifariki dunia baada ya mlipuko wa
mabomu mawili kwenye mbio za riadha huko Boston Marekani wakati
akimsubiri Baba yake mzazi amalize riadha, hii picha ni ya siku
zilizopita.
kwa mujibu wa Golbal Grind
No comments:
Post a Comment