|
Huyu Ndio Henry Aliye Uwawa |
|
Mbunge Wa Arusha Mjini Godbless Lema Akiwatuliza Wanafunzi Wa Chuo Hicho |
Taarifa
Kutoka Kwa Mwanafunzi Mwandishi Kuhusu Taarifa Zinazo Sambaa Kwenye
Chuo Cha Uhasibu Arusha Inasema Kuna Kijana Anaitwa Henry Ni Mwanafunzi
Wa BEF 2 Kwenye Chuo Cha
Uhasibu Arusha Eneo La Njiro, Alikuwa Masomoni Mida Ya Usiku Na
Alipomaliza
Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami, Kabla Hajafika Eneo La Malazi
Yani
Hostel Alipigiwa Simu Na Mwenzake Amsubiri Ili Waende Wote Hostel.
Inasemekana
Wakati Anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo
Hilo Na Watu
Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi Huyo, Majibu Ya
Wanafunzi
Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio Walipochomoa Kisu Na Kumchoma
Mmoja Ya
Vijana Hao Tumboni Na Shingoni na Kupoteza Maisha Hapo Hapo, Rafiki
Aliye Kuwa
Nae Inasemekana Alichomwa Kisu Cha Tumboni Na Kuachwa Akishuhudia
Mwenzake Akipoteza
Maisha.
No comments:
Post a Comment