Hizi picha ni za jinsi mwimbaji Beyonce alivyokua amevaa huko Belgrade, Serbia siku ya jumatatu kwenye
usiku wake wa kwanza wa mfululizo wa show zake za Mrs. Carter Tour,
uvaaji wa hili vazi ndio umefanya hizi picha zichukue headlines kwa
uzito kwenye Internet.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment