Jumapili ya tarehe saba itakuwa ni mwaka toka mwigizaji Steven Kanumba afariki.Familia
yake na wasanii wenzie wameandaa siku hiyo kwa kuiita Kanumba day
ambapo watakutana kanisani kwa misa kanisa la kilutheri huko
kimara,chakula cha mchana.Pamoja na chakula hicho wataenda makaburini kuzuru.
Jioni pale leades itaonyeshwa filamu yake ya mwisho aliyoigiza kabla hajafariki.Wapezi,wadau wote mnaweza kujitokeza kwani ni bure.
No comments:
Post a Comment