Msanii nguli wa Muziki wa Taarab asili kutokea visiwa vya Zanzibar
nchini Tanzania, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki
dunia leo huko Zanzibar.
Endelea kusikiliza East Africa Radio na kutazama East Africa Television (EATV) kwa habari zaidi.
chanzo EATV
No comments:
Post a Comment