Showing posts with label MATOKEO. Show all posts
Showing posts with label MATOKEO. Show all posts

Friday, October 20, 2017

MPYAAAA!!!!! MATOKEO DARASA LA SABA 2017 HAYA HAPA

Thursday, October 27, 2016

MATOKEO DARASA LA SABA 2016

Friday, September 2, 2016

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI (SECOND SELECTION) KWA MWAKA 2016

TAARIFA KWA UMMA


OR-TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana 2,413 na wavulana 1,505 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili kwa ajili ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wanafunzi ambao hawakuripoti awamu ya kwanza. 

Kati ya wanafunzi waliochaguliwa 1,864 wakiwemo wasichana 1,099 na wavulana 765 sawa na asilimia 47.58 watajiunga na masomo ya Sayansi na Hisabati; na wanafunzi 2,054 wakiwemo wasichana 1,314 na wavulana 740 sawa na asilimia 52.42 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na Biashara. 

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2015 wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili atakuwa amepoteza nafasi hii. 

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya pili mwaka 2016 inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz

Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI

Tumia link hii kupata matokeo :
>> Waliochaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2016


Link ya Matokeo ya awali : >> Waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi 2016

Friday, July 15, 2016

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA(ACSEE) NA UALIMU (DSEE NA GATCE) 2016 YAMETANGAZWA

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA 

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA 

 MATOKEO YA KIDATO CHA SITA(ACSEE) NA UALIMU (DSEE NA GATCE) 2016.


Thursday, February 18, 2016

MATOKEO KIDATO CHA NNE YATANGAZWA ANGALIA HAPA


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2015 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES 


Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iiyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015.

Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.

BOFYA HAPA KUANGALIA CSEE 2015