Hit maker wa "Mr Politician" Nakaaya Sumari, baada ya kukaa kimya kwa
mda mrefu, amezungumza na Amplifaya ya Clouds Fm na kuthibitisha kuwa
ana ujauzito ambao ni miezi kadhaa tu atajifungua.Alipoulizwa kuhusu
baba wa mtoto huyo, Nakaya alicheka kwanza na kusema kuwa ni wa
mtakatifu, na kugoma kabisa kumtaja baba wa mtoto huyo mtarajiwa, huku
akisema kuwa sio wa mtu yeyote anaejulikana.
blog hii inakutakia li;a la kheri na ujifungue salama
hivi sasa pia Nakaaya ameachia wimbo mpya unaoitwa "Utu Uzima Dawa"
akiwa amemshirikisha producer Dunga, ukiwa umetengenezwa chini ya
producer Lamar "Fish Crab"
No comments:
Post a Comment