Tuesday, April 16, 2013

HUYU NDIE MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEJIFUNGUA MTOTO WA KIUME MUONE HAPA.




Msanii wa filamu nchini tanzania Halima yahaya alimaarufu kama Davina amejifungua salama mtoto wa kiume mapema hii leo.

Habari hizi zimekuja baada yeye kujuifungua na haukusita kusema chochote anashukuru mungu kujifungua salama na hilo ndilo alilokuwa anamuomba mungu kila kukicha katika kipindi chote cha miezi tisa.

Divina ambaye yupo hosptali ya Aghakan alipojifungulia mtoto wake huyo amewashukuru pia mashabiki wake kwakuwa naye katika kipindi chote cha hali yake ya ujauzito hadi kufikia kujifungua salama mtoto huyo wa kiume
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment