KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
JACKLINE WOLPER: MIMI NA RAMMY GALIS SIYO WAPENZI BALI TUNAFANYA FILAMU YA KIISLAMU PAMOJA.
Tangu juzi baadhi ya blogs zimeandika kuwa Jackline Wolper na muigizaji mwenzake Rammy Galis
wanaonekana kuwa wapenzi wapya kwa picha za wawili hao kuonekana katika
mitandao ya kijamii huku zikiambata na maneno ya my baby. Juzi
Swahiliworldplanet ilipoona tu picha za wawili hao ilimuuliza Wolper na
kudai kuwa wao si wapenzi bali wanafanya filamu ya kiislamu, tukamuuliza
tena filamu inaitwaje but Wolper hakujibu kwa wakati akionekana kuwa
busy kidogo na mambo flani. Ila baada ya kuona news zinasambaa sana kuwa
wawili hao wanakula bata kisirisiri SWP ilimuuliza tena Wolper kuhusu
madai hayo na kusema si kweli ila wanafanya filamu kama alivyosema
mwanzo na filamu hiyo akasema inaitwa Kanzu na Hijabu Zaficha Maovu.
Wolper alisema "bata gani si tunafanya filamu ya kiislamu, inaitwa Kanzu
na Hijabu Zaficha Maovu". Hayo ndiyo majibu ya Wolper kama kweli ni
wapenzi kama wengine wanavyodai itakuja kubainika tu maana wahenga
wanasema penzi ni kikohozi hivyo huwezi kukizuia. Rammy Galis anaonekana
katika films kama Malaika akiwa na Seth Bosco na Rose Ndauka.
Hatukufanikiwa kumpata haraka Rammy ili kutoa maoni yake kuhusu issue
hiyo lakini tukimpta utasikia from his side too.
Rammy Galis
Jackline Wolper
Share Post
MWARICK JAPHET MUJUNGUWeb Developer
Jumuika Nami Kwenye:
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
yanawahusu?
ReplyDelete