Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema Diamond na Penny imefika ndani ya
blog yako, clip ambayo inaonekana kurecodiwa kwa maksudi na Diamond pale
alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia
simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea alimtaka kuacha drama
na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.
maongezi yako hivi
Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am inlove with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your inlove with penny and i i ...
Diamond: sipendi kwasababu sipendezewi kwasababu mwisho wa siku
itakuja kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya
kikubwa mji mzima na nini na nini sitaki.
Penny: hallo, which one is this? hallo hallo
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si
hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live
one happy life
Wema: he told you am the one who is troubling him
Penny: yeah but you are always trying to cause trouble wema, your
always trying to cause trouble, when did you want something
peaceful,when? i mean when he said look here, when he said, he is in
love with me, i dont know, for some reasons i expected you to respect
that, because all you have done is to bring us trouble, seriously, and
all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets
just see......you sleep, us guys sleep, and act like this comversation
never even happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea
sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu
hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na wema nabembelezwa, bahati mbaya
kakuta nambaya, pia nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko
inlove, asanteni sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul
Juma, nashkuru sana sana
baada ya clip hiyo kuskika Sudy Brown alimpigia wema na kuongea nae juu ya hil..
Wema: Mi sijaongea na mtu jana, like us in aaah nimee no as in
nimeambia halafu sikujua kama iko iko this big, kama wananichokoa wapate
kiki, kwasababu wanaona kama hawana kiki then thats something else
unajua eeh, kiki watafute sehem nyingine sio kwa wema sepetu, sawa mi
ninajijuwa me am a star, am a star like all over tanazania hakuna star
kama mimi sawa eeh, kwahiyo kama wanaona kama wanaweza kupata kiki kwa
kutokana mimi kama star because they are looking for names, thats fucked
up owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe na nnajiheshimu sana na mimi
mwenye...........
sitaki kuanza kuchokonolewa kuanza kutengenezewa sijui vitugani, mi
nimeskia tu kupitia bbm sijui nimekaa tu kimya, am just quite na
sijafanya kitu chochote am just quite, and am just going to stay quite,
na usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa wa kazi gani mi nishadili na Diamond and its done, haikuwa rizki
kila mtu ameenda na mambo yake, am very very happy where iam......
Diamond nae alivutiwa waya, chezea Sudy wewe
ile clip ilikuwa jana, jana kanipigia simu usiku naona simu yangu inaita
aaah najiuliza nani, napokea aah akawa anibembeleza nini na nini yeah,
mi nikamwambia wema mi nina mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri
nilikuwepo na baby pale pale, ili kesho na kesho kutwa asije kukataa,
nilimrikodi mwanzi mwisho......
Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond: mimi? mi nayeye nani anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia
simu, ye ndo atakua anatafuta kiki ya kutaka kurudiana na mimi,
kanipigia simu jana usiku akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana
nikampa simu mke wangu nkamwambia ongea nae........
No comments:
Post a Comment