KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
Actress Wema Sepetu is likely to be a style diva in Tanzania and even
outside kwa siku za hivi karibuni kuwa makini sana na fashion zake
zinazovutia wengi ikiwemo kuanza kubadilika hata katika style za nywele
kitu ambacho huko nyuma hakuwa nacho bali alikuwa anasemwa sana kwa
mavazi yanayoweka wazi sana mwili wake. Look at her latest look akiwa
katika muonekano bomba katika nguo za rangi nyeusi, njano and viatu vya
rangi ya emerald green ambayo ni rangi ya mwaka huu kuonyesha jinsi Wema
alivyo makini katika fashion siku hizi. Hapo ni katika ofisi yake ya
Endless Fame Production akiwa kiofisi zaidi.
Share Post
MWARICK JAPHET MUJUNGUWeb Developer
Jumuika Nami Kwenye:
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
No comments:
Post a Comment