Wednesday, March 6, 2013

FILAMU YA MWISHO KUCHEZWA NA KANUMBA KUINGIA SOKONI MWEZI UJAO



Filamu ya mwisho kuchezwa na marehemu Steven Kanumba LOVE & POWER itaingia sokoni tarehe 12 mwezi April mwaka huu. Pia marehemu Sharo milionea amecheza katika filamu hiyo. The lead actress is Irine Paul na Patcho Mwamba pia is in the movie. kaa tayari kwa ajili ya kujipatia copy original.


MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment