Ray amesema kuwa filamu yake ya SISTER MARRY iliyozua kasheshe na
viongozi wa kidini kutoka kanisa katoliki hivi karibuni haijazuiliwa
kabisa bali ameambiwa arekebishe baadhi ya vipande katika filamu hiyo
hivyo mashabiki wake wakae mkao wa kula filamu hiyo itaingia sokoni kila
kitu kikikamilika. The film stars Vicent Kigosi(Ray), Irene Uwoya,
Blandina Chagula(Johari) and Grace Mapunda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment