KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
DIAMOND NEY WA MITEGO WAMCHANA TENA CHID BENZI KWENYE MUZIKI GANI
Tayari ngoma hii imeshakuwa gumzo la jiji la dar es salaam muziki gani
ndio habari ya mujini kwa sasa live chidy benzi amepasuliwa tena na
diamond na ney wamitego live katika wimbo mpya wa ney na diamond
unaoitwa muziki gani? kama vipi sikiliza au download hapa wimbo huo
No comments:
Post a Comment