Baadhi ya watu wameonekana kushangazwa na muonekano wa actress Kajala
Masanja kuwa licha ya kuwa katika matatizo kwa kesi iliyokuwa ikimkabili
kwa muda sasa but amezidi kuwa mrembo shavu dodo na ngozi yake kuwaka
tofauti na wenzake wengine wakiwa segerea huchakaa but kajala kazidi
kuwa mrembo. Baadhi ya watu wakiwemo wasomaji wa mtandao huu wamesema
hawakutarajia kumuona kajala akiwa mrembo kiasi hicho kuliko hata
alivyokuwa kabla hajaenda segerea. Pia wamesema hata Lulu kazidi kuwa
mzuri wakati pia alikuwa huko huko muda si mrefu sana. Grace amesema "
hee.. mbona huyu Kajala kazidi kunawir badala ya kuchakaa huko selo!".
Nae Robertson alisema " Dahh.... huyu mdada kazidi kuwa sistaduu kama
hkuwa ktka problems n lulu nae mzuri tuu kama hana tatzo vile!". Katika
hukumu ya kesi yake leo mastaa kibao wa films walikuwepo kumpa sapoti
akiwemo Lulu, Muhsin Awadhi(Dr. Cheni), Wema Sepetu aliyetoa mil 13 ili
atoke na wengineo kibao .
Karibu sana uraiani Kajala na sahau yaliyopita.
Angalia picha za kajala hapo chini kwa msaada wa millardayo.com kama kweli kawa mzuri tofauti na zamani au lah!
Karibu sana uraiani Kajala na sahau yaliyopita.
Angalia picha za kajala hapo chini kwa msaada wa millardayo.com kama kweli kawa mzuri tofauti na zamani au lah!
No comments:
Post a Comment