Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi mwanachuo bora wa taluma ya
Electronics Communication Engenering , Amanda Chitemo (kushoto) katika
Mahafali ya tano ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, jijini Dar es
salaam Februari 2, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza, Edith Tomas ambaye alitunukiwa Shahada
ya Computer Science and Engenering katika mahafali ya Chuo Kikuu cha
Mtakatifu Joseph yaliyofanyika jijini Dar es salaam Machi 2, 2012.
(Picha na Ofisi ya Wazir Mkuu).
No comments:
Post a Comment