Baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu, the long time legend kwenye mziki wa
bongo fleva, Juma Kassim Kiroboto, Juma Nature, ameamua kudondosha
fleva mpya kwa maskio yako akiwa amemshirikisha Tunda Man.
Ngoma yangu mpya nimefanya na tunda man imekamilika na jmoc ya kesho
kutwa naiachia na kwa wale wanaotaka kuiskiliza kuanzia kesho tembelea
kwenye blog ya tmkwanaumehalisi utaisikiliza kupitia humo na utatupia
comment yko na maoni yko kuhusu hiyo nyimbo samahanini mashabiki wangu
kwa kukaa kimya muda wote na video nafanya kuanzia wiki ijayo na
showbizdefine
No comments:
Post a Comment