KUTOKANA NA WASANII WENGI WAIMBAJI WA WILAYANI MAGU KUTO SIKIKA KATIKA ULIMWENGU WA MUSIC KWA MUDA MREFU IMEKUWA TATIZO!!!!!
Sasa GRAB SOUND RECORDS Ipo Wilayani Kufufua na Kuendereza Vipaji Vyote vya Hapa Wilayani na Tanzania Kwa Ujumla Sasa Kama na wewe Ni Mmoja wa Sanaa Hii Nzoo sasa au wasiliana nasi Kwa Simu namba: 0764 251064 King Sele au 0758 490328 P-Tod Prod
ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSU KUMNUNULIA GARI PENNY AMBAE NI MAMA WATOTO WAKE MTARAJIWA
DIAMOND NA PENNY
Kupitia segment ya U Heard ya XXL Clouds FM na Soudy Brown,
mwimbaji Diamond Platnums ambae aliongoza kwa kuwa msanii wa bongo alieandikwa
sana kwenye internet mwaka 2012 amethibitisha kumnunulia mkoko mama watoto wake
mtarajiwa.
Soudy Brown alimuuliza
kuhusu fununu za kutumia Milioni 15 kununua gari la mke wake mtarajiwa
mtangazaji Penny ambae kwa sasa ni mjamzito.
Diamond amekiri kwamba ni kweli kamnunulia Penny gari kwa
sababu anaelekea kuwa mama watoto ambapo namkariri akisema “nilimuuliza gari
gani anapenda, nimemuagizia iko njiani inakuja siwezi kusema ni bei gan ila kwa
sasa anatumia la muda wakati akisubiria gari lake” Alipoulizwa kuhusu kumuoa
na kama mtoto atazaliwa nje ya ndoa, Diamond amejibu “siwezi kusema lini ila
Mwenyenzi Mungu ndio anajua inaweza ikawa harusi ila kuna time inafika inabidi
utulie, siwezi kusema chochote kwa sababu inawezekana mtoto akazaliwa ndani ya
ndoa pia
Share Post
MWARICK JAPHET MUJUNGUWeb Developer
Jumuika Nami Kwenye:
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
No comments:
Post a Comment