Kabla ya kuizindua rasmi kampuni yake ya Endless Fame Films actress Wema
Sepetu and Miss Tanzania in 2006 ameamua kutupa first look ya ofisi
yake kupitia mtandao wa instagram . Ofisi hiyo inaonekana kuwa na
mazagazaga kibao ya Gharama. jionee.......................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment