Rapper
Ney wa Mitego Alipata Ajali Hii Maeneo Ya Masaki, Dar es salaam Akiwa
Na Gari Yake Aina Ya Alteza. Lori la mchanga
Limegonga Gari Yake Kwa Nyuma Na Dereva Wa Lori Hilo Amekimbia. Pia Chanzo Cha Habari Hizi Kinasema Ney Hajaumia Ila Amepata Mshtuko Tu.

No comments:
Post a Comment