“Sisi tumecheza tumefurahi tu hawa waliofunga mtaa kututazama watakuwa wanataka kuona mavituzi yetu,” alisema Wema.
Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakikata mauno.
Mpango mzima ulitokea hivi karibuni katika arobaini ya mtoto wa dada
yake Wema iliyofanyika Sinza Kwa - Remmy, jijini Dar ambapo Aunt pamoja
na baadhi ya wasanii walifika kusherehekea sherehe hiyo ya kumtoa mtoto.
Awali, Wema alionekana akimtunza fedha
pamoja na mikufu ya dhahabu yenye thamani kubwa na ilipoisha sherehe ya
maulid ndipo mastaa hao waliwasha muziki na kuanza kulisakata rumba.
...Wakizidi kumwaga radhi.
No comments:
Post a Comment