Stori:Issa Mnally
Tofauti na mastaa wengine ambao hupenda kujifichaficha kwa kutumia magari yenye vioo vyeusi ‘tinted’, mwigizaji ‘expensive’ wa filamu za Kibongo, Rose Donatus Ndauka amenaswa laivu akikatiza kwa miguu, katikati ya Jiji la Dar, mitaa ya Posta.

Continued after the jump ....
Tukio
hilo lilipigwa chabo na paparazi wetu hivi karibuni ambapo mwigizaji
huyo alionekana ‘akipuyanga’ mitaani bila usafiri kama alivyozoeleka.
Paparazi wetu alimfuatilia kwa muda mrefu, akampiga picha kadhaa (kama zinavyoonekana hapo chini).
Wakati zoezi la kumtandika picha likiendelea, kuna wakati mwigizaji huyo alionekana kama anataka kuomba lifti ya bodaboda lakini aliahirisha na kuanza kutimua mbio huku akiangua kicheko cha kiaina.

No comments:
Post a Comment