Katika blog yake mwanamuziki Diamond ameandika hivi "Kiukweli Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kufanikisha usiku wangu huu wa Usiku wa Valentine
uliofanyika Mjini Arusha ndani ya CLUB SAFARI CARNIVAL
Tareh 16/02/2013....maana ilikua ni mara ya Kwanza kwa Msanii wa kitanzania
kufanya show kwa Kiingilio kikubwa cha (150,000) Laki Moja na Nusu na watu kufurika
pasipo hata mimi kutegemea.....Kiukweli ilinifariji sana na kuona kweli Watanzania
wanathamini na kujali vipaji na sanaa zao tofauti na zamani tulikuwa tukiona show ya
kiingilio kikubwa ni mpaka msanii wa kutoka nje akija nchini ndo watu ujaa kwa wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya vizuri, kujituma na kuwa mbunifu zaidi ili nami kesho
na kesho kutwa niweze kuiweka Nchi yangu kwenye Ramani nzuri ya
Tasnia ya Muziki....!!

Niushukuru Pia Uongozi mzima wa CLUB SAFARI CARNIVAL,
MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote Niliokuwa nao Pamoja Arusha..Bila kumsahau
My Blood Ibrah Madharau"
HONGERA SANA PIGA KAZI DIAMOND
for more photos tembelea www.thisis diamond
No comments:
Post a Comment