Chris Martin amedhihirisha kukolewa
kwake na Afrika Mashariki na hii pengine ni kutokana na show zake kubwa
ambazo amezipiga katika nchi za Uganda na Kenya kwa wakati tofauti na
hii ni kutokana na mshkaji huyu kudhihirisha kuwa lugha 'hadhimu' ya
Kiswahili haimpigi chenga.
Christopher Martin |
Investigation ya www.sammisago.com
imelithibitisha hili pia na kugundua kuwa ni kweli msanii huyu wa
miondoko ya reggae ana-feel Kiswahili, na hiki ndicho tulicho kutana
nacho kwenye twitter timeline yake...
Kama bado huamini, #FACT iis.. Yeah, for real, Jamaa Kiswahili kinapanda kimtindo.
Mshkaji leo anatimiza miaka 26 tokea kuzaliwa kwake mwaka 1987, ni mkali mwenye hits kibao kutoka Jamaica, Chris Martin, Hits zake kama vile Cheaters Prayer na Paper Loving ndio zime-establish jina lake vizuri kabisa Afrika Mashariki, Happy Birthday to him na wewe ambaye pia leo unaadhimisha siku yako ya kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment