Breaking News:Kanisa moja limechomwa moto Visiwani ZNZ alfajiri ya leo
na kwa Mujibu wa Kamishna wa polisi mjini MUSA ALI MUSA ,baadhi ya viti
vya kanisa vimeungua na kwamba moto huo uliwahiwa kuzimwa kabla ya
kusababisha madhara zaidi.Kwa taarifa zaidi endelea kuangalia ITV na
Kusikiliza Radio One
SOURCE : ITV
SOURCE : ITV
No comments:
Post a Comment