Balozi wa Tanzania Nchini Marekani Mhe.Mwanaidi Sinare Maajar akiwa kwenye Picha ya Pamoja na Rais wa Marekani Barrack Obama,Mara baada ya kukabidhisha hati ya utambulisho wa Balozi wetu Huyo Nchini Humo tarehe 16.09.2010 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Jakaya Mrisho kikwete Amemteua Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia(CFR) Kilichopo kurasini Jijini Dar Es Salaam. |
Monday, February 18, 2013
BALOZI MWANAIDI SINARE MAAJAR ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA DIPLOMASIA
MWARICK JAPHET MUJUNGU
Web Developer
ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment