Thursday, February 21, 2013

Jack wa Chuzi amdhalilisha Isabale Kuhusu wanaume anaotembea nao Isabela


WAKATI kukiwa na bifu la chini kwa chini kati ya wasanii wawili Jack wa Chuz na Isabela, hali imekuwa tofauti ambapo Jack ameamua kufunguka na kudai kuwa msanii huyo ni malaya na analala na wanaume walala hao, huku akijifanya matawi ya juu.

Kauli hiyo imekuja mara baada ya mwandishi wa
DarTalk, kuzungumza na Jack juu ya maneno ya chini chini yanayosambazwa na Isabela juu yake, yanayodai kuwa alisababisha kumuachananisha na bwana ake.

Jack
alidai kuwa kamwe hawezi kutembea na wanaume wanatoka na msanii huyo kwani hawana ubora huku wengi ni walala hoi wasiyojiweza hata kimaisha.

Alienda mbali zaidi kwa kudai kuwa kutokana na hali ya uchafu aliyonayo msanii huyo, hakuna mwanaume analiyewahi kutoka na yeye anayeweza kumtamani kwani ana mwili ambao hata mvuto hauna.


“Sijawahi kutembea na bwana wa Isabela sasa inakuwaje anazungumza mambo ya uongo tena ya chini kwa chini hana lolote nahisi anatafuta jina yeye wanaume zake wote walala hoi sasa itakuwaje watoke na mimi wakati hawana cha kunipa,”
alihoji Jack.

Hata hivyo kwa mujibu wa maneno ya
Isabela alidai kuwa Jack aliwahi kumfanya asielewane na mpenzi wake baada ya kumtaka kimapenzi huku akijua wazi kuwa anatokana na yeye miaka yote.
MWARICK JAPHET MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment