Mkurugenzi
wa Kampuni ya Deloitte nchini Kenya, Bw. Nikhil Hira akiongea katika
mkutano na wadau wa teknolojia na mawasiliano leo ambapo alisema kuwa
kwa utafiti mdogo ambao wameuanza unaonyesha kuwa watu wengi wamekuwa
wakitizama TV kwa kutumia komputa. Mkutano huo ulifanyika hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Deloitte nchini Uholanzi, Bw. Jean Diop akisisitiza jambo
katika mkutano na wadau wa teknolojia na mawasiliano leo hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam.
Wadau wa teknolojia na mawasilianowaliohuduria katika mkutano huo.
Mmoja ya wadau wa teknolojia na mawasiliano akiuliza swali.
No comments:
Post a Comment