Wednesday, January 16, 2013

MWANAFUNZI KIDATO CHA NNE AFARIKI DUNIA BAADA YA KUDUMBUKIA KWENYE SHIMO LA MAJI WILAYANI MAGU


MISS SCHOOL 2012 CHIRISTINA BARNABA (WAPILI KULIA)NA MSHINDI WA PILI ZAHARA JUMA  (KATI KATI) WAKIWA NA WADAU WA SANAA

 
( MAREHEMU ZAHARA JUMA ENZI ZA UHAI WAKE


Mwanafunzi aliye kuwa akisoma katika shule ya Sekondari Magu (ZAHARA JUMA) Iliyoko katika wilaya ya Magu Amefariki dunia Baada ya Kuzama Kwenye Shimo la Maji Ambalo Alikuwa Akichota Maji Jana Jioni.

                Marehemu Kabla ya Umauti Kumfika Alitoka Shule jana Jioni Na kuelekea Nyumbani ambako alikuwa anaishi na Baba Yake pamoja na Wadogo ZAke Wawili na baada ya kufika nyumbani ndipo Alielekea Nyumba ya jirani (ambayo aijaisha) kwenda kuchota maji Na Mauti Kumkuta Huko.  

SHIMO AMBALO ALILOKUWA AKICHOTA MAJI NA KUMSABABISHIA UMAUTI

 MWILI WA MAREHEMU (Tunaomba Radhi Kwa Picha Hii)  Baba Mzazi Wa marehemu Juma Akilia Kwa Uchungu.

 Baadhi ya Maombolezaji


 Mwili wa Marehemu Ukiondoka Nyumbani Kwao na kuelekea

MISS SCHOOL 2012 CHIRISTINA BARNABA (WAPILI KUSHOTO)NA MSHINDI WA PILI ZAHARA JUMA WAKIWA NA WADAU WA SANAA P TOD PRODUCER GRAB SOUND REC (WAPILI KULIA) NA O.P
(MAREHEMU ZAHARA WA TATU KUTOKA KULIA)

(Zahara Wa Nne Kutoka Kushoto)

Enzi za uhai wake Marehemu Zahara Juma Aliwai Kushiriki Shindano la Magu Miss School 2012 na Kushika Nafasi ya pili.

Mwili wa Marehemu ulisafirisha Kwenda katika kijiji cha kabila wilayani Magu ambako Ndiko mazishi yalipofanyikia

Mwenyezi Mungu Ailaze Roho Ya Zahara Mahara Pema Peponi  "Amen"

 
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment