Friday, January 4, 2013

6 wakiri kubaka India, wanasheria wote wagoma kuwatetea.



 Polisi wakiwa wanalinda eneo la mahakama mjini New Delhi.

Kundi la wanaume sita wa India wamefikishwa mahakamani leo kwa kosa la kumbaka na kumsababishia kifo binti wa miaka 23, mjini New Delhi.
Wakiwa chini ya ulinzi mkali katika mahakama kwa hofu ya kutokea vurugu za makundi mbalimbali,
Ram Singh, the juvenile ni miongoni mwa watuhumiwa hao sita anayedaiwa kufanya vitendo vichafu zaidi ya wenzeo kwa binti aliyebakwa baada ya kupoteza fahamu, na kwa mujibu wa taarifa za polisi kesi za watuhumiwa hao  zitaendeshwa tofauti .
Katika kesi hiyo polisi inalenga adhabu ya kifo kama hukumu, na wakati huhuo washtakiwa wamekiri kutenda kosa huku mawakili wa India wakigoma kutetea watuhumiwa.
MWARICK JAPHET TEKELE MUJUNGU Web Developer

ASANTE KWA KUTEMBELEA KING SELE BLOG KWA MSAADA ZAIDI WASILIANA NASI: E-mail.: mwarickit@gmail.com.

No comments:

Post a Comment